×

Video: Global Habari Machi 14 – Uongozi CCM Katavi Waridhishwa Na Mradi Wa Maji


Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi na Sekretariet ya Mkoa wa Katavi wameridhishwa na mradi wa maji Muwese uliopo katika Kata ya Muwese wilayani Tanganyika na kuwapongeza kwa kukidhi mahitaji ya wananchi wanaoishi katika Kata hiyo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani yam mwaka 2025.

 

Akizungumza wakati wa kutembelea mradi huo mjumbe wa Kamati ya Siasa Charles Kanyanda ameupongeza uongozi wa wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA kwa kukamilisha mradi huo unaowezesha wakazi wa kata hiyo kupata maji safi na salama. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment