HISTORIA ya Kiongozi wa Wachaga, Mangi Meli, aliyetawala Moshi kwenye miaka ya 1891 mpaka 1900 ambapo wakoloni wa Kijerumani walichukizwa na msiamamo wake wa kutokufuata sheria za kikoloni na kuamua kumuua, imesimuliwa vyema na Mjukuu wake aitwaye Aisaria Meli..