
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ataapishwa rasmi leo Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tukio hilo linatarajiwa kuanza saa 4 Asubuhi – Ikulu jijini Dar es Salaam
Hii ni baada ya Rais John Pombe Magufuli kufariki dunia jana Machi 17, 2021.

