×

Mondi, Madee Wafika Uhuru Kumuaga Magufuli – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, utaagwa leo Machi 20, katika jiji la Dar es salaam ambapo inatarajiwa mwili wake kuagwa kwa siku mbili katika jiji hili.

 

Wasanii nao hawajawa nyuma katika kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, ambapo wasanii Diamond Platnumz na Madee wamekuwa miongoni mwa wasanii wa mwanzo kuwasili katika uwanja wa uhuru tayari kwa ajili ya kuaga mwili wa Hayati Magufuli.

 

Leave a Comment