Jay Melody; ni staa mwingine mkubwa kwa sasa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania leo Novemba 4, 2022 ameachia video ya wimbo wake wa nakupenda.
https://globalpublishers.co.tz/msanii-jay-melody-afunguka-kupata-utajili-kupitia-wimbo-wake-wa-nakupenda/