×

Swahiba wa Magufuli Chato Afunguka Usiyoyajua – Video

GLOBAL TV imefika wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo ndipo alipozaliwa na kukulia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, kwa lengo la kuzungumza na watu mbalimbali wanaomfahamu.

Leave a Comment