×

Mtoto wa Afande Sele Afunguka Baba Yake Kumtukana Mungu – Video

KUFUATIA kitendo cha Rapa nguli Bongo, Afande Sele kutoa maneno ya kumjelei Mwenyezi Mungu kufuatia kifo cha Rais Magufuli huku viongozi wa dini ya Kiislam wakiswali albadri ili mkali huyo wa rhymes afe ndani ya siku saba, mtoto wa rapa huyo amezungumzia tukio hilo alilofanya baba yake.

Leave a Comment