
MAELFU ya wakazi wa jiji la Mwanza, wamejitokeza kwa wingi kupokea mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli leo Machi 24, kutoka uwanja wa ndege wa Mwanza kuelekea katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo wananchi mkoani humo watapata nafasi ya kumuaga Hayati Dkt. John Magufuli.
