KAMANDA wa Mkoa wa Kipolisi, Kinondoni, ametoa taarifa ya tukio la Mtangazaji wa kituo cha ITV na Redio 1 kukutwa amekufa katika maeneo ya Bamaga njia panda ya ITV.
Aidha ameelza matukio mengine kadhaa ikiwemo utapeli, maofisa wa polisi feki na mengineyo huku pia akiwatoa wananchi shaka juu ya usalama wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx