GLOBAL TV imefunga safari hadi mkoani Tanga, kwa ajili ya kufanya mahojiano na wanandoa ambao harusi yao ime trend sana kwenye mitandoa ya kijamii kutokana na mume kuwa mlemavu, hivyo watu wengi wakavutiwa na upendo wa mwanamke huyo.