×

Afisa TRA Temeke Akamatwa kwa Tuhuma za Rushwa

Humphrey Mhagama amekamatwa kwa tuhuma kuomba Tsh. 500,000 ambapo alipokea Tsh. 250,000. TAKUKURU imesema Mtuhumiwa atafunguliwa Mashtaka kwa kosa la kushawishi, kuomba na kupokea Rushwa.

 

Leave a Comment