
Waombolezaji mbalimbali wamejitokeza katika ibada ya mazishi na kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa Bi. Magdalena Theresia “Teddy” Hollo Mapunda nyumbani kwa marehemu Kilongawima, Mbezi Beach Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam jana Jumatatu, Mei 10, 2021.