
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, akisubiria kukabidhiwa karatasi ya kupiga kura kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha kupiga kura Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma Anania Emily leo Mei 16, 2021 kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, akipiga Kura ya katika kituo cha kupiga kura (Polling Station) Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma leo Mei 16,2021 kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe.