×

Rais Samia Awateua Hoyce Temu, Togolani Mavura Kuwa Mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa mabolozi 23 ambao umeanza leo Mei 22, 2021.

 

Rais Samia amemteua Hoyce Anderson Temu kuwa Balozi. Temu ni Mwandishi wa Habari na Mjasiriamali. Pia, alikuwa Miss Tanzania mwaka 1999. Pia amemteua Ndugu Togolani Mavura Kuwa Balozi, Kabla ya Uteuzi huu Ndugu Togolani alikuwa Katibu wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete.

Leave a Comment