MTANANGE wa marudiano kati ya SIMBA SC vs KAIZER CHIEFS, unachezwa leo Mei 22, katika uwanja wa Mkapa jijini Dar, ambapo Simba anauhitaji mkubwa wa ushindi ili aweze kufuzu hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx