×

Bulaya Atema Nyongo “Tanesco Inajiendesha kwa Hasara” – Video

MBUNGE wa Viti Maalum (CHADEMA), Ester Bulaya ametoa mchango wake kwa Wizara ya Nishati leo Jumatano, Juni 2, 2021 Bungeni jijini Dodoma.

 

Makubaliano yalikuwepo kati ya Serikali na Kampuni ya Songasi katika kuhamisha madeni na mali, makabuliano hayo yanasema Songasi ilipe deni la mkopo dola za kimarekani milioni 45.88, hadi sasa Songas haijalipa deni na deni hili linalipwa na TANESCO,” Ester Bulaya (Mb)

Leave a Comment