Mazungumzo kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Dkt. Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel yameanza rasmi leo tarehe 12 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.