
Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 amekutana na kupokea mapendekezo kutoka kwa Kamati ya COVID-19 Ikulu, Chamwino – Jijini Dodoma.
Mapendekezo hayo yamewasilishwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Prof. Said Aboud aliyeongozana na Wajumbe wa kamati.