
Rais Samia Suluhu Hassan amesema leo Juni 4, 2021, balozi na taasisi za kimataifa zimeruhusiwa kuleta chanjo za #COVID19 nchini kwa ajili ya kuwachanja wananchi kuendana na taratibu za nchi zao au taasisi hizo pamoja na kuondoa kadhaa wanazopata katika utendaji wa kazi zao kutokana na kutochanjwa.
