Gari la Mwananchi lapata ajali mbaya Kitonga Global Publishers December 4, 2015 SHARE THIS: Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Gari iliyokuwa imebeba Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda mkoani Mbeya imepata ajali eneo la Kitonga leo alfajiri na inasadikiwa watu wote waliokuwemo ndani ya gari hiyo wamefariki. SHARE THIS: