×

Rais Samia Azungumza Na Wananchi Wa Pansiasi Mwanza (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Pansiasi Jijini Mwanza wakati akielekea kuzindua Jengo la Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021.

Leave a Comment