×

RC Gambo Awaongoza Wafanyakazi Arusha Mei Mosi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (wa tatu kushoto) akiwa na viongozi wa wafanyakazi serikali, mashirika ya umma na taasisi binafsi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Moja ya vikosi vya makampuni ya ulinzi vikijiandaa kuingia uwanja wa Amri Abeid kwa maandamano ya Siku ya Wafanyakazi.
Baadhi ya wafanyakazi wakicheza kwa furaha wakijiandaa kuingia uwanjani.
Moja ya makundi yaliyokuwa yakijiandaa kuingia uwanjani kuadhimisha siku ya Mei Mosi.

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo,  leo amewaongoza maelfu ya wananchi mkoani humo kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo shamra zake zilifanyika katika Uwanja wa Sheik Amri Abeid.

Wafanyakazi wa serikali na makampuni mbalimbali binafsi walijumuika pamoja kusherehekea siku hiyo.

 

(PICHA: KORUMBA MOSHI – GLOBAL TV, ARUSHA)