×

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Afiwa na Baba Yake

MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina Juni 14, 2021 amefiwa na Baba yake, Mzee Mpina Gabisi Luchemba kilichotokea katika Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Simiyu.

Mazishi yatafanyika Jumapili Juni 20, 2021 Kijijini kwake Isangilo Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu.

Leave a Comment