×

Tanzia :Padri Privatus Karugendo Afariki Dunia

PADRI Privatus Karugendo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Juni 25, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu.

 

Padri Karugendo alikuwa akiishi Tabata Chang’ombe, Dar es Salaam na aliachana na upadri na kufunga ndoa na mkewe Rose Birusya katika Kanisa la St Peters, Dar es Salaam.

Amewahi kuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Buziku Jimbo Katoliki la Rulenge.

Leave a Comment