×

Video: Rais Samia Azungumza Na Baraza La Maaskofu Tanzania


Rais Samia Suluhu Hassan, leo Juni 25, atakutana na Baraza la Askofu Katoliki Tanzania (TEC) jijini Dar es salaam.

Kama tunavyojua duniani kuna wimbi la tatu la Corona, tumetoka la kwanza tumeingia la pili, limepungua kidogo na sasa kuna la tatu, ishara ndani ya nchi inaonekana. Tayari tuna wagonjwa wameonekana wa wimbi la tatu

Kama mnamkumbuka siku nilitembelea Mwanayamala, kuna wodi daktari alikuwa ananiingiza, akanaimbia humu kuna wagonjwa wenye matatizo ya kupumua, nikamuambia kuwa muwazi ni Covid? Akasema ndiyo, nikawaambia wapiga picha wangu walikuwa wameingia, tokeni- Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 25 alipokutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEK.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment