×

Rais Samia: Nipeni Muda Nijenge Nchi Kiuchumi-Video

MAJIBU ya rais samia kuhusu katiba mpya na mikutano ya kisiasa: “nipeni muda nijenge nchi kiuchumi “Niwaomba sana Watanzania, kama mnavyosema nimeanza vizuri, nipeni muda niisimamishe nchi kiuchumi, halafu tutashughulikia mengine kama Katiba na kukutana na vyama vya siasa”

 

Leave a Comment