Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 29, 2021 amefungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.