×

Video: Global Habari Juni 30 – Rais Samia Akutana Na Mtendaji Wa Afcta


Leo June 30,2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akutana na kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCTA) Wamkele Mene Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. Akizungumza mara baada ya kukutana na Rais Samia, Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya eneo huru la Biashara Afrika Wamkele Mene ameeleza maendeleo ya kuridhiwa katika eneo huru la Biashara Afrika ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment