MSANII wa muziki Bongo, Alikiba leo Juni 30, 2021 ameachia Video ya kolabo ya kimataifa na mkali wa muziki kutoka Nigeria Rudeboy. Wimbo unaitwa #Salute.