Joshua Nassari Azindua Duka la Vodacom Wilaya Bunda
Global Publishers July 14, 2021 0 Comments
SHARE THIS:
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Joshua Nassari (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka la Vodacom wilaya Bunda mkoani Mara mwishoni mwa wiki. Vodacom Tanzania Plc imezindua duka hilo wilayani Bunda ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake.Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Joshua Nassari (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa mhudumu wa duka la Vodacom baada ya kuzindua duka la Vodacom wilayani humo mwishoni mwa wiki. Vodacom Tanzania Plc ilizindua duka hilo wilayani Bunda ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wakeMkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Joshua Nassari (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa mhudumu wa duka la Vodacom baada ya kuzindua duka la Vodacom wilayani humo mwishoni mwa wiki. Vodacom Tanzania Plc ilizindua duka hilo wilayani Bunda ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wak
Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Joshua Nassari amezindua duka la Vodacom wilayani humo mwishoni mwa wiki ambapo watu mbalimbali walihudhuria uzinduzi huo. Vodacom Tanzania Plc ilizindua duka hilo wilayani Bunda ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake.