×

Majambazi yaiba na kuua Chanika

CRDB

Watu wanaodaiwa kuwa majambazi jana wamevamia na kupora fedha katika benki za CRDB na DCB zilizopo eneo la Chanika jijini Dar es Salaam kisha kuua kwa risasi watu wawili na kujeruhi baadhi ya wafanyakazi.

Leave a Comment