×

Video: Mashabiki Watoa Tamko Rasmi – “Tunasimama Na Mo Dewji”

MASHABIKI wa Simba wametoa tamko la kusimama na Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Mohamed Dewji baada ya aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, jana Jumatano kuongea na waandishi wa habari pale Hoteli ya Serena, Dar, watoto wa mjini wanakwambia ameupiga mwingi.

 

Jana Manara alizungumza mambo mengi mbele ya vyombo vya habari akiwa na lengo la kuwashukuru viongozi wa Simba, mashabiki wa timu hiyo na kila mmoja aliyekuwa naye karibu kwa muda wote wa miaka sita aliokaa ndani ya klabu hiyo kwa nafasi yake ya ofisa habari.

Leave a Comment