×

Mastaa Kumi wanaomiliki Ndege Binafsi (PRIVATE JET)

Kibongo bongo staa akimiliki gari la kifahari basi anajiona ameshafanikiwa sana kimaisha lakini je, unajua kuwa kuna mastaa duniani
wanaomiliki ndege binafsi? Achana  na chopa, hapa nazungumzia ndege  binafsi, private jets! Yaani akitaka kusafiri kwenda sehemu yoyote,
hana haja ya kupanga foleni ‘airport’, anaingia kwenye ndege yake kisha huyoo, anasepa zake. Basi kwa taarifa yako, wafuatao ni mastaa
wanaomiliki ndege zao binafsi…

SOMA BURE..

👇Twende APUNI👇

iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx
Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8

👇Twende APUNI👇

iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx
Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8

Leave a Comment