×

Yanga Walivyokwea Pipa Kueleka Morocco -Video

KIKOSI cha Yanga leo kimekwea pipa kueleka Morocco ambapo kituo cha kwanza itakuwa ni Dubai kisha wataunganisha safari kuelekea Morocco kwa ajili ya kambi ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2021/22.

Leave a Comment