Simba Yathibitisha: Miquissone, Chama Wameuzwa Global Publishers August 16, 2021 0 Comments SHARE THIS: KLABU ya Simba imethibitisha rasmi kuuzwa kwa wachezaji wake bora Lois Miquissone na Clatous Chama. Imewashukuru kwa utumishi wao. Luis anakwenda Al Alhy ya Misri na Chama RS Barkane ya Morocco. SHARE THIS: