
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais mteule wa Zambia, Hakainde Hichilema akisema; “Kwa niaba ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali, nakupongeza Mhe. Hichilema kwa ushindi ulioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Zambia.”

