×

Balozi wa Marekani: Tanzania Imebarikiwa

BALOZI wa Marekani nchini Tanzania, Donald J. Wright ameeleza kufurahiswa na mandhari pamoja na ari ya biashara nchini Tanzania.

“Nimefurahishwa sana na uzuri wa mandhari ya sehemu hii ya nchi na biashasha kutoka kwa kila mtu niliyekutana naye. Tanzania kweli imebarikiwa.”

Balozi Wright alikuwa njiani kuelekea Iringa akitokea Morogoro ambapo alisimama njiani na kununua mahindi ya kuchoma kama alivyokuwa akifanya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ziarana enzi za uhai wake.

Leave a Comment