Mtangazaji wa vipindi vya radio katika Jimbo la Tennessee nchini Marekani Bw. Phil Valentine aliyekuwa mmoja kati ya watu waliozipinga wazi sana juhudi za chanjo ya Uviko-19 na ulazima wa kutumia barakoa, amefariki dunia kwa ugonjwa huo.