Wateja wa Bank of Africa Wapatiwa Mafunzo ya Kibiashara
Global Publishers August 24, 2021 0 Comments
SHARE THIS:
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wasia Mushi akifungua warsha ya mafunzo ya kibiashara kwa wateja wa biashara za kati (SME) wa benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa warsha wakipokea vyeti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,Bw.Wasia Mushi (Kulia)Baadhi ya washiriki wa warsha wakipokea vyeti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,Bw.Wasia Mushi (Kulia).