×

Zanzibar: Rais Avunja Bodi Ya Shirika La Nyumba

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021

Vilevile, Dkt. Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amevunja Bodi ya Uhaulishaji Ardhi visiwani humo.

Leave a Comment