Zanzibar: Rais Avunja Bodi Ya Shirika La Nyumba Global Publishers August 27, 2021 5,712 views 0 Comments SHARE THIS: Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021 Vilevile, Dkt. Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amevunja Bodi ya Uhaulishaji Ardhi visiwani humo. SHARE THIS: