
| POST | AFISA BIASHARA DARAJA II – 1 POST |
| POST CATEGORY(S) | BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES HR & ADMINISTRATION MARKETING,MEDIA AND BRAND |
| EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema |
| APPLICATION TIMELINE: | 2021-09-01 2021-09-14 |
| JOB SUMMARY | N/A |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuwasiliana na Wizara nyingine ambazo zinafanya biashara, kupata takwimu ambazo zitatumika katika kutathimini mwenendo wa biashara na masuala mengine ya kibiashara; ii. Kusambaza taarifa za kibiashara kwa wafanyabiashara; iii. Kutathmini mwenendo wa biashara kwa kuangalia hali ya masoko katika nchi mbalimbali ambazo bidhaa zetu zinauzwa; iv. Kuandaa grafu na chati ambazo zinaonesha mwenendo wa bidhaa zinazoingizwa nchini na zile ziendazo nje kwa kila nchi ambazo hufanya biashara na Tanzania; v. Kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Msimamizi wake. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Biashara waliojiimarisha katika fani ya uchumi, Masoko, au Uendeshaji Biashara kutoka Chuo Kikuu chochote kinachotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION | TGS.D |