×

Uwoya Afanya Kufuru Harusi ya Kwisa- Video

QUEEN kutoka kiwanda cha Bongo Movie, Irene Uwoya usiku wa kuamkia leo Octoba 3, amefanya kufuru kwa mara nyingine  kwenye harusi ya mtangazaji wa kipindi cha ICU  Kwisa, baada ya kumwagia  minoti ya kutosha.

Leave a Comment