×

Cheed wa Konde Gang Afunguka Alivyoondoka Kings Music – Video

 

MWANAMUZIKI Cheed, kwa mara ya kwanza ametembelea studio za Global Radio na kufunguka kuhusu ujio wake mpya akiwa na ngoma yake ya ‘WANDIA’ akiwa chini ya Konde Gang inayomilikiwa na Harmonize.

Leave a Comment