Kila kukicha matukio ya kushangaza na kustaajabisha yamekuwa yakitokea chini ya jua, Kama wewe ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii utakuwa umekutana na video hii ambayo ikimuonyesha simba ambaye ameuawa huku mashuhuda wakidai kuwa simba huyo sio wa kawaida kwani alibadilika kutoka kuwa binadam na kuwa simba….