×

Video: Wazee Arusha Wamlilia Rais Samia Walipwe Madai Yao Mil 100


Baadhi ya wakulima Wilayani Arumeru mkoani Arusha Wakiwemo, Inko Andrea Manga, Kashengena Msuya Abdi na George Macha, Wamemuomba Rais Samia kuingilia kati madai yao ya Dola Elfu 50 kwa Kampuni ya Gomaba Estate iliyokuwa ikitekeleza Majukumu yake ya Kilimo wilayani Arumeru.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment