Diamond Platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) 2021 kipengele cha Best African Act, ambapo atashindana na wasanii wanne kutoka Afrika, Tems (Nigeria), Wizkid (Nigeria), Focalistic (Afrika Kusini) na Amaarae (Ghana).