Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi. Stella Msofe, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la utoaji kinga, tiba ya magonjwa ya mabusha na matende..
Zoezi hilo linaloratibiwa chini ya Wizara ya Afya linatarajiwa kuanza Oktoba 24.