×

Mtoto Asimulia Kwa Uchungu Shangazi Kumvunja Shingo-Video

Mtoto Grace Gasper amepata ulemavu baada ya kuvunjwa shingo na shangazi yake wakiwa wanacheza na mtoto wa shangazi yake, Grace asimulia tukio zima.

0711450533 Athuman Omary Kimwaga, namba ya Simu ya kumchangia Grace Gasper.

Leave a Comment