×

Breaking: Yahaya Akilimali Afariki Dunia

Mchezaji wa zamani wa Simba Yahaya Akilimali amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Oktoba 30, 2021 Ujiji Mkoani Kigoma.

Pumzika kwa amani winga teleza Akilimali. Innalillah 🙏

Leave a Comment